Ilishakufa muda mrefu, inadaiwa madeni kwa wingi sana. Sina uhakika kama wa TZ wana walionunua hisa walipatataarifa za kufirisiwa kwani ilitangazwa kwenye magazeti. Sielewi nini kilichoisibu, kwani wakati inaanza manjojo yalikuwa mengi sana, mpaka jamaa walisafiri mikoani kuitangaza, sijui nanianahusika na hasara hii au ndiyo KODI zetu walala hoi?
tafuta leso a.k.a handcatchif ya kufutia machozi kabla hujajibiwa waliko Nicol
tafuta leso a.k.a handcatchif ya kufutia machozi kabla hujajibiwa waliko Nicol