Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
najua hawa wakaka wapo makumbusho wanafanyaga kazi nyingi na vikundi mbali mbali vya dini 0653026265
Nina project ya kuandaa video ya nyimbo za gospel, nahitaji kampuni ya kuifanya hiyo shughuli.
Kama wewe una kampuni inayoshughulika na hayo, ni PM Gharama zako na details zote za project yote. Location itakuwa Dar es salaam hapa hapa.
Okay Mkuu NashukuruWapigie Mgalula Multimedia, wako vema sana kwenye kazi hiyo.
Namba zao, 0784/0715 203 011
Nina project ya kuandaa video ya nyimbo za gospel, nahitaji kampuni ya kuifanya hiyo shughuli.
Kama wewe una kampuni inayoshughulika na hayo, ni PM Gharama zako na details zote za project yote. Location itakuwa Dar es salaam hapa hapa.
Namba unayopiga haipatikani kwa sasa.