Kampuni ya wakenya, Betika yaendelea kutapeli watanzania

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
396
Reaction score
278
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu.

1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja.

2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha hata ukachezaa ujue huwezi kuitoa hata iwe elfu moja haitoki inabaki kwao.

3. Poor customer care, ukipiga tu simu wanakudanganya, halafu wanakuwa wakali ukionesha kutoelewa jibu flani.

4 . Wanamasoko mazuri ili wakukamate.

Mnao beti au kubashiri acheni mara moja kutumia kampuni hii mnatapeliwa

Serikali iingiilie kati hawa ni DECI MPYA.
 
JF ichapeni hii kwenye ukurasa wenu wa FACEBOOK

Ifike haraka kwa wahusika
 
Ingieni kwenye ukurasa wao wa insta kila mtu kalalamika katapeliwa
 
Daaah, hii kampuni ni full magumashi mwenyewe ni mhanga wa kudhulumiwa na hao Betika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…