Kampuni ya Yamaha kuja na Robot lilaloendesha Pikipiki

Kampuni ya Yamaha kuja na Robot lilaloendesha Pikipiki

Yales

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
517
Reaction score
528
Kampuni ya Yamaha Motors imefichua kwamba inaunda roboti ambayo itaweza kuendesha pikipiki ambazo hutumiwa kwenye mashindano ya pikipiki. uploadfromtaptalk1445878170332.jpg

Kampuni hiyo kutoka Japan ilionyesha mfano wa roboti hiyo katika maonyesho ya magari na pikipiki ya Tokyo Motor Show.Ingawa kwa sasa roboti hiyo inategemea kuongozwa na mtu, roboti kamili itakayozinduliwa mwishowe itakuwa na uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu njia bora zaidi ya kufuata na kufikia kasi ya juu zaidi ikizunguka uwanja.
 
Nawakubali sana Japanese.

Hivi hawa Japanese si ndo wametengeneza robots wanaofanya kazi kama receptionists kwenye hotels?
 
piki piki inayojiendesha yenyewe na roboti anaendesha pikipiki vina tofauti?
 
Back
Top Bottom