Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Diamond baada ya kulalamika kuwa kampuni ya Ziiki Media haitakiwa watoe wimbo wake na hivyo wana mpango wa kuhuishusha lebel hiyo na mziki wake na wasanii wake!
Kampuni hiyo nayo imemjibu Diamond kwa kumwambia afate utaratibu na makubaliano kati yao na asivunje utaratibu na makubaliano baini yao! Wao kama kampuni watahakikisha wanalinda makubaliano yao na kulinda hayo makubaliano!
NB: Diamond anatakiwa kufata utaratibu wa mkataba wa makubaliano kama yeye anavyo wasainisha wasanii wake mikataba na kumtaka aifate na yeye inapaswa afate na kuheshimu makubaliano yao!
Unaweza soma hapa tamko la Kampuni ya ZiiKi Media