NMB wanafaa wanamikopo ya MSE,riba ni ndogo, ni 2% per annual reducing balance
mkuu ebu ffanua kdogo mkuu
Kwanza hiyo si 2% per annum. Ni zaidi ya 10%. Pia ukisema 2% per annum reducing balance, inamaana ile balance iliyobaki ndio inachakiwa interest. Lakini katika hali ya Tanzania hakuna benki inayoweza kuchaji chini ya 10% kwa sababu kuna issue za inflation na default risk haziwezi kuwa na value 10% hata kama uwe umejiestablish kiasi gani kwenye biashara.Kwa mfano, ukikopa 1million, kwa mwaka utalipa 1,144,000, baada ya kumaliza mkopo pamoja na interest, ina maana 144,000 ni interest uliyoipa bank
Kwanza hiyo si 2% per annum. Ni zaidi ya 10%. Pia ukisema 2% per annum reducing balance, inamaana ile balance iliyobaki ndio inachakiwa interest. Lakini katika hali ya Tanzania hakuna benki inayoweza kuchaji chini ya 10% kwa sababu kuna issue za inflation na default risk haziwezi kuwa na value 10% hata kama uwe umejiestablish kiasi gani kwenye biashara.