Kampuni yenye usajili Zanzibar ifate taratibu zipi kufanya kazi Bara?

Kampuni yenye usajili Zanzibar ifate taratibu zipi kufanya kazi Bara?

displayname

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,972
Reaction score
1,085
Habarini wadau, ninatatizo moja hapa nahitaji ufafanuzi wenu. Nimesajiri kampuni kama business name au huitwa Solo Proprietor Company. Inahisika na utalii, hivi sasa na taka kujitanua kwa kufungua ofisi kama tawi (branch) Tanzania Bara, sasa sifahamu nini cha kufanya ili kuweza fanikisha nia yangu.

Nimejaribu kucontact kwa email na TTB ( Tanzania Tourist Board) pia na BRELA wanipatie mwongozi lakini kimya sasa sijui email ni nyingi ktk DO LIST yao hivyo yangu bado fikiwa au nini sijui!

Nombeni msaada wa nini chakufanya; Nina leseni ya biashara nalipia kila mwaka kwa Zanzibar, inatolewa na Zanzibar Commission of Tourism pia TIN number ya TRA na cheti cha kulipia kodi ya ZRB (Zanzibar Revenue Board) pamoja na cheti cha usajili wa kampuni kilichofanya na msajiri wa biashara Zanzibar, chini ya serikali ya mapinduzi.

Naomba kuwasilisha, Wadau!
 
Miongoni mwa kero za muungano.

Ndugu yangu ukija Bara ni lazima usajili upyaa maana Zanzibar wanausajili wao Pale Mambo msiige na Brela wanakazi zao kwa huku. Na wala hawaingiliani. Brella wao wanatoa Industrial Licenses tuu na sio Business Licenses.

Be informed that procedure for registration of a company is the same for all types of companies.
You clear your company name with BRELA, fill forms number 14a and 14b, prepare Memorandum & Articles of Association then submit the documents to BRELA, you pay the fees and the company is incorporated.
BRELA issues INDUSTRIAL LICENCE only and not Business licence.

Business licences are issued by The Ministry of Industry & Trade and the Local Government Authorities depending on the location of your business.

Utyalii ni lazima uende kwanza Brella ili kupata usajili wa Company name na wao wala TTB hawatoi Licenses.

License zinatolewa Wizara ya Maliasili na Utalii. Na kwa Bara ni lazima ujipange kweli. Kuna sheria ya kukagua iadai ya magari uliyonayo ikiwemo ya Safaris, nafikiria kama Gari Tano as minimum.

Kama sikosei License yao ni kama US$ 2000 kwa mwaka.

Nido maana wengi ni wahindi na wazungu ndio wameweza ku manage kwakuwa na mtaji mkubwa.
 
Miongoni mwa kero za muungano.
Ndugu yangu ukija Bara ni lazima usajili upyaa,maana Zanzibar wanausajili wao Pale Mambo msiige na Brela wanakazi zao kwa huku.Na wala hawaingiliani.
Brella wao wanatoa Industrial Licenses tuu na sio Business Licenses
Be informed that procedure for registration of a company is the same for all types of companies.
You clear your company name with BRELA, fill forms number 14a and 14b, prepare Memorandum & Articles of Association then submit the documents to BRELA, you pay the fees and the company is incorporated.
BRELA issues INDUSTRIAL LICENCE only and not Business licence.

Business licences are issued by The Ministry of Industry & Trade and the Local Government Authorities depending on the location of your business.

Utyalii ni lazima uende kwanza Brella ili kupata usajili wa Company name na wao wala TTB hawatoi Licenses.

License zinatolewa Wizara ya maliasili na utalii.Na kwa bara ni lazima ujipange kweli.
Kuna sheria ya kukagua iadai ya magari uliyonayo ikiwemo ya Safaris,nafikiria kama Gari Tano as minimum.
Kama sikosei License yao ni kama US$ 2000 kwa mwaka.

Nido maana wengi ni wahindi na wazungu ndio wameweza ku manage kwakuwa na mtaji mkubwa.

Hii ni sawa, Muungano na changamoto zake
 
Back
Top Bottom