displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Habarini wadau, ninatatizo moja hapa nahitaji ufafanuzi wenu. Nimesajiri kampuni kama business name au huitwa Solo Proprietor Company. Inahisika na utalii, hivi sasa na taka kujitanua kwa kufungua ofisi kama tawi (branch) Tanzania Bara, sasa sifahamu nini cha kufanya ili kuweza fanikisha nia yangu.
Nimejaribu kucontact kwa email na TTB ( Tanzania Tourist Board) pia na BRELA wanipatie mwongozi lakini kimya sasa sijui email ni nyingi ktk DO LIST yao hivyo yangu bado fikiwa au nini sijui!
Nombeni msaada wa nini chakufanya; Nina leseni ya biashara nalipia kila mwaka kwa Zanzibar, inatolewa na Zanzibar Commission of Tourism pia TIN number ya TRA na cheti cha kulipia kodi ya ZRB (Zanzibar Revenue Board) pamoja na cheti cha usajili wa kampuni kilichofanya na msajiri wa biashara Zanzibar, chini ya serikali ya mapinduzi.
Naomba kuwasilisha, Wadau!