Kampuni za betting zinatumia nini kupanga odds?

Jana nimetapeliwa na kaja😭😭
 
Application za live zinatoa wapi matokeo, sababu timu ikifunga zinabadilisha hapo hapo kama wapo kiwanjani
Ni kazi ya computer na computer inapokea matokeo live kutoka kampuni kubwa za data kama Opta na BetRandar. Na hizi kampuni kubwa zina mikataba na mamlaka zinazosimamia ligi kwenye kila nchi na pia wanatuma scout viwanjani wakiwa na gadget za kutuma matokeo live. Kwa hiyo mpira unapokuwa unachezwa kuna watu wanashughulika ku-transmit data, eg nani kapewa kadi, nani kafunga goli nk. Hizi data zinakwenda kwa haraka sana. Kwa mfano kuna siku nilibeti Bruno iatafunga goli, na baada ya muda akafunga. Baada ya dakika mbili betting company niliyotumia wakawa wameshalipa fedha kwenye account yangu ya betting. Baada ya dakika kadhaa tena, goli likabadilishwa na kupewa mchezaji wa timu iliyofungwa kuwa alijifunga mwenyewe. na fedha iliyokuwa imelipwa ikakatwa tena. Nikabaki nashangaa, je ningekuwa nimeitoa kabla hawajairudisha?
 
Mmh haya mambo upo deep sana.

Kwanini
0dds 2.87 ya nyumbani lazima ifungwe..

Odds ya nyumbani ikilingana na odds ya away mechi haiwi sare
Mfano 2.60/2.97/2.60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…