Tz +255Tanzania au dunia nzima?
Baada ya muda gani, mlipitia michakato ipi, connections / Rushwa ?Zanzibar insurance comprehesive walininunulia gari nyingine mpya.
NHIF wameshakuwa waswahili, inshort inategemea unataka bima ya nini choose wisely.
Aisee kumbe hizi comprehensive inategemea kampuni na kampuni.UAP walinifidia Discovery 4 yangu iliyoungua ila walikata 25% mbwa wale
Duka lililobadilisha kioo? Sijaelewa fafanua mkuuStrategis walilipa duka lililobadilisha hichi kioo full price no questions asked.View attachment 3181792
Comprehensive inasaidia
Total loss wengi wanalipa, ila ukidanganya dhamani ya mali yako ndio kimbembe.Aisee kumbe hizi comprehensive inategemea kampuni na kampuni.
Walikununulia Gari mpya au walikupa fedha ili ukanunue Gari jingine?Zanzibar insurance comprehesive walininunulia gari nyingine mpya.
NHIF wameshakuwa waswahili, inshort inategemea unataka bima ya nini choose wisely.
Invoice ya kioo kipya ilikuwa handled na bima sio mimiDuka lililobadilisha kioo? Sijaelewa fafanua mkuu
Hapana, inacover kwa yule ambaye umemsababishia ajari, kama wewe huna koda aliyesabisha ajari issurance yake ndio inacover damage kwako.3rd party janga lolote lile imekula kwa tyuu