Kampuni za kukodisha magari (Car Rentals)

Kampuni za kukodisha magari (Car Rentals)

@
IMG_20200123_174801.jpeg
IMG_20200123_174744.jpeg
IMG_20200123_174821.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua anamaanisha Landcruiser V8 inabidi utuzoee mkuu kwani hujawahi kusikia natafuta gari namba "D" wakati D ni herufi mkuu
Hahaha sawa mkuu ngoja na mimi nikakodishe 'tako la nyani'.

dodge
 
Habari

Kwa mkoa wa Dar es Salaam, ni zipi kampuni best kwa kukodisha magari?

Na je mtu anaweza kupata choice ya magari yafuatayo:

- Range Rover
- Audi
- Landcruiser V8

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacheki Travel Partner kwa gari hizo.

Na kwa Land Cruiser V8 wacheki Spark Car Rental wapo mitaa ya Sayansi.
Pia kama unataka gari za ujerumani kama Volkswagen Jetta,Passat, Combi wacheki kuna jamaa wanaitwa Volo Classic Ride.
 
Mkuu saizi haya makampuni kwa Dar wengi gari zimepaki. Inabidi ufanye survey kisha uwashushe bei na watakubali maana gari zimepaki.
 
Tunatoa huduma ya kukodisha magari Aina ya Alphard kwa matumizi mbalimbali Kama vile:
1.Tours
2.Harusi
3.Sendoff
4.Kusafirisha Misiba
5.Picnic & Safari za kifamilia
6.Airport pick up
7.Safari za Kiofisi
8.Safari Binafsi
Location.Dsm
Call/Whatsapp 0788457446
 
Attachments

  • IMG_20201030_064621.jpg
    IMG_20201030_064621.jpg
    198 KB · Views: 23
Itakua anamaanisha Landcruiser V8 inabidi utuzoee mkuu kwani hujawahi kusikia natafuta gari namba "D" wakati D ni herufi mkuu
Msameheni huyu, bado ajamiliki gari. Maana ukiwa na gari naukaenda gereji. Maneno machafu ya kihuni lazima uyasikie
 
Msameheni huyu, bado ajamiliki gari. Maana ukiwa na gari naukaenda gereji. Maneno machafu ya kihuni lazima uyasikie
Haya kanywe maji upunguze hasira mama Sarah.
ElzhkwXXEAA51Yl.jpg
 
Back
Top Bottom