Kampuni za kuthaminisha mali (Assets valuation co.)

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
JF heshima
Wakuu naomba kuyafaham makampuni yanayo thaminisha (assets valuers) mali kwa hapa Tanzania kuna sehemu wanatafutwa.
natambua JF hakuna linaloshindikane
 
Kichwa Ngumu! I hope you are fine!
Hii thread yako imefanya niamini kuwa bado professionals wengi wa kitanzania sio watumiaji wa mitandao ya kijamii. Maana hii title yako kuhusu wathamini wa mali (Asset Valuers) imekuwepo hapa JF for more than a year now!!! na hakuna hata mmoja wa hao valuers aliyejitokeza akasema kuwa yeye ni valuer na wala hakuna aliyeelekeza valuers walipo.
Ni muda umepita na mimi pia najilaumu kwa kutoiona hii thread for such a long time, wakati jibu ninalo. Kama bado unahitaji VAluers wasiliana na COSWIL CONSULT LTD kwa simu No 0713596010 au 0764640244 au tembelea website yao COSWIL CONSULT(Tanzania) Ltd
 
Unaweza kumwandikia Secretary, National Council of Professional Surveyors P O Box 9132 Wizara ya Ardhi, Ardhi House, yeye atakupa list ya makampuni yote yaliyosajiliwa na Valuers ambao wanaruhusiwa kufanya asset valuation Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…