chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,008
- Thread starter
-
- #21
Tala naitumia nawalipa tarehe 20 next monthumesha watumia tala na branch na sasa unatafuta wengine?
Mkuu hao wote ulishawakopa?Check na hao.View attachment 881185
We jamaa ndo umeenda kumletea zote hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Check na hao.View attachment 881185
Ha h h ha we Jamaa uko kote una kopaCheck na hao.View attachment 881185
acha tu mkuuWa kiwango cha lami
Ongezea nyama kwa faida ya wadau humuNMB CLIK MIKOPO NJE NJE
Nmejaribu kujiunga hawaniletei sms ya password mkuu.Njoo Lpesa, huku tunakopa kwa USD
Asa unakoposhwe 5000 unategemea utafanya biashala ganiTaasisi zote zinatoa mikopo mizuri,ila changamoto ni huo mkopo unaenda kufanyia kazi gani.Mkopo unakuja kuwa mbaya pale unapouwekeza kwenye kitu ambacho hakikuzalishii.