Kampuni, Zahanati na Vifaa vyake vinauzwa Dar. Sh. Milioni 122

Kampuni, Zahanati na Vifaa vyake vinauzwa Dar. Sh. Milioni 122

Wakuu,

kama kuna mtu ambaye yuko interested kuwekeza kwenye sekta ya Afya Dar es salaam, na ana uzoefu kwenye eneo hilo; Kampuni, zahanati na vifaa complete vinauzwa jumla M. 122.

Mahali; Dar
Thamani ya vifaa; zaidi ya 80 M
Hali ya Biashara: inafanya kazi vizuri na inahudumia wastani wa watu 15-25 kwa siku. Ina miezi 6 toka ianze kukanya kazi kikamilifu.

Haina deni lolote, tra na brela cleared. Pia wafanyakazi 7 wote wanalipwa kwa wakati.

Bima mbili ziko hatua za mwisho kabisa.

Sababu za kuuza, wamiliki wamehamishwa kikazi na wanafanya kazi zinazowaweka busy hivyo usimamizi unakuwa mgumu.

Kahiyo kampuni iko vizuri, inaenda vizuri inaboreshwa kila siku. Changamoto muda.

Kama uko interested karibu PM kwa maelezo zaidi
Ninachowapendea hamuweki uongo
 
Mkuu,Jengo ni mali ya zahanati au la kukodi?Average revenue per month ni kiasi gani.Terms za Mauzo zikoje?
 
Back
Top Bottom