daniel 1000 Member Joined May 14, 2018 Posts 9 Reaction score 6 May 16, 2018 #1 Hebu taja kampuni zinahusikana na kutoa viwango vya ubora katika sekta tofauti ukiacha TBS , hasa hasa katika media buying.
Hebu taja kampuni zinahusikana na kutoa viwango vya ubora katika sekta tofauti ukiacha TBS , hasa hasa katika media buying.
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 May 16, 2018 #3 TFDA, Mkemia mkuu, JAAI, TCU, NACTE, VETA, BoT... Yule anayefungiaga magazeti sijui ni habari Maelezo! TCRA, EWURA...
TFDA, Mkemia mkuu, JAAI, TCU, NACTE, VETA, BoT... Yule anayefungiaga magazeti sijui ni habari Maelezo! TCRA, EWURA...