~ Kamtumbwi alikokataa Kikwete ~


Asitucharaze bila kujua anataka twende wapi. Maana bakora bila direction zinauma zaidi.
 
Msimlaumu mkuu wa mkoa kwa sababu Jakaya mwenyewe alishasema philosophy yake ni kuwa hakuna mtu anayesomea UWAZIRI , UKUU WA MKOA,au UKUU WA WILAYA; hizi ni kazi anaamini wateule watajifunza on the job na matokeo yake ndio hayo!! Mama Mbega ni mbunge wa Iringa Mjini huo ukuu wa mkoa ni fadhila aliyopewa kwa kuwa mwana mtandao sio kwa uwezo, na ndio maana hata akivurunda hakuna kuwajibika. Mtindo huu wa utawala ni typical of leadership without a vision! Wanamtandao wengi wamevurunda lakini kinga yao ni ile contribution yao ya kumuwezesha " MKWERE" kuukwaa urais!! Kwi kwiiiiiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…