Kamuacha mumewe kakimbilia kibabu muitaliano! Part 1...

Mi naona huyo mwanaume wa Tz ni wewe mwenyewe! sawa oa huyo Mbotswana lakini fanya mpango wa kuokoa mwanao..au nae humtaki? so sad that a child has to suffer
 
kweli tamaa mbele mauti nyuma lkn bado mtoto anaweza kusaidiwa,si kuna DNA tu wapime itaonesha mtoto si wa hilo fataki la kitaliano.Ingekua ni mim siku tu nimegundua kamfanyia hivyo mwanangu ndo angejuuta kupenda ngozi nyeusi ningepelekesha mpaka angekoma.Kamuacha mumewe hakujua anakuja ulaya kulima ngano,anyway simuonei mdada huruma naona anastahili ila huyo mtoto roho yangu inaumia juu yake.Hilo lidada nalo nilizoba sijui kwanini hawezi kumtoa mtoto hapo wakati ulaya watoto wanatetewa sana.
 
Keshapata anaempenda, na wamehama wanaishi botswana, its too late kawa mpenda vibabu vya kizungu. Na amekuwa anamchezea kule kwenye pachupachu mtoto, sasa mama akashanga mtoto anakuwa anajifanya vile ndo kinamuuma zaidi.
mkuu naomba usiendelee kuelezea huyo mtoto anavyofanyiwa hujui ni kiasi gani unaiumiza roho yangu,please i beg.
 
huwa hawakati story hivyo, lazima kisa kieleweke na kiishe

part 2 inakuwa kivingine, huoni hata terminator za shoziniga.

Uko kama bongo muviz
 
dada aliona amekula kichwa cha mafioso akaona ameukata kumbe yeye ndiyo ameliwa...
 
huwa hawakati story hivyo, lazima kisa kieleweke na kiishe

part 2 inakuwa kivingine, huoni hata terminator za shoziniga.

Uko kama bongo muviz

Mkuu hata hivyo hii ni bongo muvi, ha ha!
 
Mi naona huyo mwanaume wa Tz ni wewe mwenyewe! sawa oa huyo Mbotswana lakini fanya mpango wa kuokoa mwanao..au nae humtaki? so sad that a child has to suffer

Analysis yako ni nzuri ila umekosea, hii stori haina uhusiano wowote na maisha yangu. Haya yamemkuta mshkaji wangu.
 
Mi naona huyo mwanaume wa Tz ni wewe mwenyewe! sawa oa huyo Mbotswana lakini fanya mpango wa kuokoa mwanao..au nae humtaki? so sad that a child has to suffer

Analysis yako ni nzuri ila umekosea, hii stori haina uhusiano wowote na maisha yangu. Haya yamemkuta mshkaji wangu. Inategemea kama anaona kuna haja ya kumtafuta mtoto au la. Kwa sababu yeye anajiandaa na ndoa huo muda kwa kweli haupo, mtoto atakuja kuelewa tu akikua.
 
hii case ina machizi wengi ,sio dada na muitaliano wake tu.
 
ningeweza kuwa na muujiza
basi ningejigeuza mzungu hata kwa wiki moja tu
nione 'wanavyopapatikiwa' kwa ku experience
halafu nirudi kuwa mswahili niwafuate tena wale wale wanaopapatikia wazungu
nione watasemaje
 
inaonyesha huyo babu tangu mwanzo alikuwa na agenda zake.uchafu gani huo anaowafanyia?hata kama ana uraia,kwani hawawezi kuondoka?tamaa za kupenda wazungu ndio hizo.

Au avumilie tu angoje mauti yamfike huyo babu,labda si masikini,ila ni "bahili".. Awe mvumilivu!
 
ningeweza kuwa na muujiza
basi ningejigeuza mzungu hata kwa wiki moja tu
nione 'wanavyopapatikiwa' kwa ku experience
halafu nirudi kuwa mswahili niwafuate tena wale wale wanaopapatikia wazungu
nione watasemaje

Hivi mkuu The Boss umeshaona wanaume wa kiswahili wakioa wazungu,bado hujikuta wanazaa na waswahili,ama kuwaacha tu wake zao wa kizungu.. Umewahi kuliona hilo...?

Halafu wanume wa Kizungu nao,wakija huku hawawapendi kina dada wa ofisini, wastaarabu,watanashati.. Wengi wao wanachagua wale ... Nakosa the right word,lakini kama "changudoa" vile ndiyo zinakuwa swaga zao... Je umeshawahi kulinote na hili?
 
Last edited by a moderator:

Hilo lipo wazi sana, ni ndio maana mbongo ukiwa na mzungu unaonekana ni mwenye njaa tu, na ukweli upo kwani mzungu anaweza kuwa na upendo wa kweli at first instance atakapokuona lakini mbongo huwaza kutoka kimaisha kwanza mapenzi hufuata. Hata kama ana nyumba, na maisha ya kawaida hutegemea kitu zaidi ya kile alichonacho. Ni wachache sana wanapenda kwa ile maana ya mapenzi.
 
Last edited by a moderator:
ningeweza kuwa na muujiza
basi ningejigeuza mzungu hata kwa wiki moja tu
nione 'wanavyopapatikiwa' kwa ku experience
halafu nirudi kuwa mswahili niwafuate tena wale wale wanaopapatikia wazungu
nione watasemaje

Yani ukigeuka mzungu halafu uwe bongo yetu hii utawapanga mkuu kama foleni ya wateja wa NMB!
 
Duuh kama movie za kinaigeria vile, lazima part II. Haya twasuri .....

una makosa ya kuvunja mbavu zangu na sitokusamehe kwa hilo bro aahahahahahahahahahahah
ahahahahahahahahah nimecheka mpaka wife ambaye kwa bahati mbaya haelewi kiswahili ameniita kuwa ni chizi, lazima wife wangu akuchukie.
you made my day
 
sehemu ya pili ya hadithi yako imeharibu kila kitu maana kama tunavyosema kwa kiitaliano" è completamente inverosimile e pertanto non esiste un reato preso seriamente,dopo l'omicidio e il sequestro di persona, come l'abuso sui minori"

umeharibu kila kitu na ulichoandika kinabaki kuwa ni hadithi...
 
Sawa mkuu, naona umeamua kupiga kitaliano kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…