funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Jun 8, 2011 #1 Kuna mtu ana soft copy ya kamusi ya kiswahili kwa kiswahili? nilinunua Hard copy ila kwa sasa natafuta soft copy ile nisiwe na mizigo mingi ya kubeba (vitabu) pindi ninaposafiri
Kuna mtu ana soft copy ya kamusi ya kiswahili kwa kiswahili? nilinunua Hard copy ila kwa sasa natafuta soft copy ile nisiwe na mizigo mingi ya kubeba (vitabu) pindi ninaposafiri