Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,718
- 1,481
Wadau habari, mimi napenda kujifunza lugha ya kihindu ila uwezo wa kulipia kozi yao sina kwa sasa, ningefurahi kama ningepata kamusi ya kihindi/kingereza au hata kwa kiswahili kama ipo. Iwe ni kitabu chenyewe au softcopy naomba kama mtu ana link ya mtandao wa kudownload hio kamusi au mahali hapa Dar inapouzwa anijulishe tafadhali, natanguliza shukran za dhati