Habari mwana jf?
Ninaomba msaada wa kupata ile kamusi ya TUKI yenye English-Swahili,Swahili-English,
nasikitika ya kwangu imepotea baada ya window kublock na ndio ilikuwa msaada mkubwa kwangu wa lugha,
kama unayo naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0755098159,au naomba nisendie kwenye Email
add-peaceandlove.center@yahoo.com,
naahidi kutoa ushirikiano mzuri kwa atakayenisaidia,
Ahsante.