Kamwe: Ahmed Ally anaumia na Sead Ramović kama tumempa kazi ya kumsongea Ugali

Kamwe: Ahmed Ally anaumia na Sead Ramović kama tumempa kazi ya kumsongea Ugali

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe

"Ahmed Ally anaomba usiku na mchana kocha wetu afukuzwe. Tangu jana nimemuona akifanya Media Tour kwenye vyombo mbalimbali vya habari, lakini yeye ndiye anayetakiwa afukuzwe kwenye mpira wetu."

"Mmesahau miaka miwili iliyopita aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akaandika kuwa ligi yetu ni dhaifu, baada ya siku mbili akaomba radhi".
 
Kwani Mheshimiwa Lissu anasemaje juu ya yanga kuishia makundi na sare za vitenge?
 
Mbumbumbu huwezi muelewa Ali kamwe
Sure nyie wadumavu mnaelewana wenyewe tu. Wewe unapaswa umuelewe maana mnaishi wote usipomuelewa mtatimizaje mahitaji ya nyumbani kwenu? Ila mi nlikuwa nadhani ni ka gasho.kumbe kamewowa na umekuja hapa tukusome?🤣
 
Back
Top Bottom