Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ukiachana na yoote Ally Kamwe ana utoto sanaaa
But ni mtoto sidhani kama kamefika miaka 18 kale?Ukiachana na yoote Ally Kamwe ana utoto sanaaa
Wapjmbavu hao maujinga ya simba na yanga ndio yanafubaza akili za watanzaniaHawa wanataka kututoa kwenye reli, sasa hivi habari ya jiji ni Lissu🐼
Ni 30+ ni mkubwa yuleBut ni mtoto sidhani kama kamefika miaka 18 kale?
Basi katakuwa na udumavu. Maana mi huwa nakaona kana akili za kitoto sanaNi 30+ ni mkubwa yule
Mbumbumbu huwezi muelewa Ali kamweBasi katakuwa na udumavu. Maana mi huwa nakaona kana akili za kitoto sana
Sure nyie wadumavu mnaelewana wenyewe tu. Wewe unapaswa umuelewe maana mnaishi wote usipomuelewa mtatimizaje mahitaji ya nyumbani kwenu? Ila mi nlikuwa nadhani ni ka gasho.kumbe kamewowa na umekuja hapa tukusome?🤣Mbumbumbu huwezi muelewa Ali kamwe