Kamwe amjibu Ahmed ally kuwa ashukuriwe mwamedi mafanikio ya yanga

Kamwe amjibu Ahmed ally kuwa ashukuriwe mwamedi mafanikio ya yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
SWALI: Wameibuka watu wanasema mafanikio ya Yanga wapongezwe watu wengine ambao sio Yanga.

MAJIBU KAMWE: “Kwa kifupi kabisa Wahenga walisema Mjinga mpe cheo alafu wewe endelea na yako, Sisi wajinga tumewapa cheo yetu yanakwenda mbele,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

[emoji1607] @bintiiringo

#WasafiSports
1699209804809.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom