#COVID19 Kamwe hatuwezi kuishinda corona kwa kutegemea misaada

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Bunge la bajeti limepita bila mpango maalumu wa kukabiliana na corona.
Hatima yake tunataka kuwekeza mapambano dhidi ya corona kwa kitumia hisani za WHO,USA n.k.

Tuamshe bongo zetu na tuje na majibu kamili
 
We

Wewe ulikuwa mwimba pambio mtiifu tena kwa sauti kuu tangu awamu tangulizi,endelea kuimba pambio,tena kwa umoja wa wanakijani mlikataa uwepo wa hatari ya corona na mkalaani hata utumiaji au kusikia habari ya chanjo,leo unasemaje tena?nimesahau tasafali ndugu yangu Jingalao nikumbushe.😂
 
Wewe jibu lako kamili ni lipi?
 
Vipi kuhusu ndimu?Bado itafua dafu?
2855845_BCEs.jpg
 
We
Wewe ulikuwa mwimba pambio mtiifu tena kwa sauti kuu tangu awamu tangulizi,endelea kuimba pambio,tena kwa umoja wa wanakijani mlikataa uwepo wa hatari ya corona na mkalaani hata utumiaji au kusikia habari ya chanjo,leo unasemaje tena?nimesahau tasafali ndugu yangu Jingalao nikumbushe.😂
Unaweza kunionesha thread ya pambio ?
 
Uziri wa jamvi hili halipotezi kitu,ukifanyacho humu ni kumbukumbu ya maisha yako au nasema uongo ndugu zangu?
Lete huo ushahidi uliokuwa unadai unao eti naimba mapambio.
 
Back
Top Bottom