Kamwe hatuwezi kusahau ndugu zetu wa October 29.

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Kamwe hatuwezi kusahau maumivu tuliyopata terehe 29 wakati wa uchaguzi.maumivu ya kuuawa ndugu zetu kinyama na waTanzania wenzetu wachache ambao ni watawala. njia pekee ya kutusahaulisha ni kutuua wote. Rest in peace comrades hakika watalipia damu zenu wao na familia zao kwani damu hulipwa kwa damu.
 
🤣 🤣
 
Mungu awalaze mahali pema peponi makamanda wetu wote wa mo29 pamoja na polepole,mdude nk..!.
 
Damu yao haijamwagika bure. Waliohusika lazima walipe na kuwajibika kwa walichokifanya.
Hakuna kumwachia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…