Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Kumdharau mtu/kumdhihaki au kumu attack haikusaidii kitu

Kwani hakuna Wanaume wengine hadi Ujikombe / Ujipendekeze hivi Kwake wakati unajua kuwa hakutaki na Kidevu chako hicho kama Kichuguu?
 
Katika serikali hii lolote laweza kutokea...usijiaminishe..mkulu hatabiriki
 
Mkuu mzukulu toa hoja acha kutukana watu

Asante.

Nitajie Tusi katika Maelezo yangu Kwako au kwa hao unaojifanya kuwa ni Mtetezi Wao tafadhali. Yawezekana Mimi sijui maana ya Neno Kutukana.
 
Majungu tu, John hamuogopi mtu yeyote si hapa nchini bali dunia nzima,yeyey anamuogopa Mungu tu,halafu wewe si Mungu unaweza kutangulia wewe mahala pa milelel na mzee wa watu akaendelea kudunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…