Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Hongera sana Dr. Hussein Mwinyi kuaminiwa na Halmashauri Kuu ya CCM taifa kupeperusha bendera ya CCM Z'bar.
Bila shaka Dr. Shein atakukabidhi IKULU Nov 2020 kufuatia ushindi ambao utaupata wakati wa uchaguzi mkuu
 
Sio kuingiwa na mashaka bali kutupandisha genye sisi mabazazi pia mabarazuli
Mwanaume Kujipendekeza na Kujikomba hovyo kwa Wanaume Wenzako ni HATARI mno kwani unaweza ukasababisha tuanze kuingiwa Mashaka.
 
Hah hah hah hah bado nawafatilia waliotabiri anguko la ZITTO baada ya kufurumushwa CHADEMA.

HASA:namtizma Yericko na Lissu.

#MUNGU_mpangaji.
 
Porojo
 
Nani atakuwa Rais Zanzibar? Nani atakuwa makamu wa Rais Zanzibar?
 
Zanzibar ni Nchi ndogo ilipaswa igeuzwe mkoa tu, Rais abakie mmoja tu kupunguza gharama za kuilea kuilinda kuilisha Zanzibar
 
Nani atakuwa Rais Zanzibar? Nani atakuwa makamu wa Rais Zanzibar?

Baba yako atakuwa Rais halafu Mama yako atakuwa Makamu wake. Una Swali lingine tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…