jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nimpongeze Rais Samia kwa kusimama imara katika nafasi hii ngumu, yenye majaribu na lawama zote.
Ni ukweli usiopingika kuwa nafasi za uongozi ni kama ubao wa kupokea lawama na mazuri yote huandikwa na kufutwa.
Nipende kumpa moyo Rais na viongozi wote wa chini yake katika kukabiliana na lawama lakini nimpongeze kwa kupokea pongezi nyakati zote.
Lipo moja tu la muhimu yaani katika ubao huu wa lawama na pongezi ni lipi litakalomtambulisha na kuishi karne na karne?
Hivyo bila hofu, aibu, vikwazo, ngebe, vitisho, shinikizo n.k ni lazima kama Rais wa nchi aweke legacy yake .....itasemwa tu baadaye kwani sisi wanadamu tumeumbwa hivyo yaani kusema tu iwe baya au iwe zuri.
keep up the pace...keep it on ...
Kitaeleweka tu kwani hata wanaobagaza wana-fight the same spirit yaani watatukana na watakosoa hadi waeleweke...BUT this is not their time....it is your time ...JUST DO IT...!!
ON YOUR KNEES NEVER!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!