Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni elimu ipi hiyo?Ni Bora mwanangu asomee kipaji chake na elimu ya pesa ambayo haifundishwi mashuleni.
Baed eti!Ni elimu ipi hiyo?
Wape watoto wako elimu bora, mengine hayo waachie wenyewe watachagua "what works better for them", and "not for you". If you can understand the difference you'll be blessed 70 times 70.Ajira kwa Sasa ni sawa na tatumzuka, ni uzalilishaji mtupu, kusoma kwa kutegemea kuajiriwa kunaongeza ufukara kwa wasomi, shahada saivi ni sawa na Bure.
Ni Bora mwanangu asomee kipaji chake na elimu ya pesa ambayo haifundishwi mashuleni.
Waache waajiriwe kwa muda ili wakija kujiajiri wajue katika uhalisia wake nini maana ya ajiraAjira kwa Sasa ni sawa na tatumzuka, ni uzalilishaji mtupu, kusoma kwa kutegemea kuajiriwa kunaongeza ufukara kwa wasomi, shahada saivi ni sawa na Bure.
Ni Bora mwanangu asomee kipaji chake na elimu ya pesa ambayo haifundishwi mashuleni.
kwani ni lazima awape iyo elimu kwanza ndiyo awaachie wenyeww kuchagua?Wape watoto wako elimu bora, mengine hayo waachie wenyewe watachagua "what works better for them", and "not for you". If you can understand the difference you'll be blessed 70 times 70.
Akikuelewa atabadilika pakubwa... kuna watu ni waajiriwa kwa mishahara ya milioni 50 kwa mwezi tena hapa hapa bongo...Wape watoto wako elimu bora, mengine hayo waachie wenyewe watachagua "what works better for them", and "not for you". If you can understand the difference you'll be blessed 70 times 70.
1. Jibu langu lina logic: ukipata elimu bora (ukiwa 'enlightened' utachagua kilicho bora).kwani ni lazima awape iyo elimu kwanza ndiyo awaachie wenyeww kuchagua?
na kwanini sio mimi kama mzazi nimpe ninachoona ni sahihi kwanza kutokana na mahitaji ya Dunia ya sasa ayo mengine aje kuchagua mimi nikiwa sijilaumu kusomesha kwa gharama kubwa alafu hakuna maendeleo?
Sure. Na haiwezekani Kila mtu akajiajili. Studies mbalimbali zinasema wanafunzi (hadi kufikia kuhitimu masomo yao), pamoja na kuwa na hard skills (technical skills), wanahitaji pia 'soft skills'/21st century skills kama vile problem-solving, communication, innovation, digital literacy, interactive skills, critical thinking, employability skills, etc - hizi ni aina ya skills ambazo wanafunzi hawajifunzi darasani, bali katika maisha ya kila siku na mtu mwenye hizi skills ana uwezo wa ku'cope' na situation yoyote katika maisha yake. Hawa ni aina ya watu ambao wanaona fursa mahali ambapo watu wengine hawazioni hizo fursa, Wana uwezo wa kubadilisha mazingira mahali ambapo watu wengine wameshindwa na pia wanaweza kuanzisha biashara mahali ambapo watu wengine wameshindwa kuanzisha biashara na wanaweza kufanikiwa katika maisha mahali ambapo watu wengine hawawezi kufanikiwa - hawa ni aina ya watu wanaoitwa 'effective people's na kama ni viongozi ni 'effective leaders'.Akikuelewa atabadilika pakubwa... kuna watu ni waajiriwa kwa mishahara ya milioni 50 kwa mwezi tena hapa hapa bongo...
So asi dictate sana mwanae kujiajiri.. awaaachie wanae waamue.... wala hii kujiajiri sio kwamba ndo solution ya kujikwamua kwa watu wote