Sema kakaa! Yameshatokea Mwanza hukoonina mengi ya kusema.
I second u, naumia zaidi sababu tuna mtt na nampenda kuliko kitu chochote na amekuwa so emotional baada ya kugundua baba yake sipo sawa, ukweli ni kwamba ameshindwa kubalance btn new love na mtt amemuweka pembeni am not oky with that as mtt anapata mateso ambayo hastahili,
I know hajafata chochote huku zaidi ya mapenz ambayo mm may be nimeshindwa kuonesha ila namuonea huruma kiumbe huyu wangu wa pekee as i have to move on with my life as am broke na nimeharibu mpaka kazi yangu
IdiotMimi kwa kwelii kipindi mwanamke wangu kuna mambo matatu nilikuwa najitahidi kuyafanya ili nisimpoteze mpenzi wangu
1. Nilijitahidi sana kufanya mambo yote anayoyataka yeye ili moyo wake uridhike
2. Nilijitahidi kuonyesha moyo wangu unampenda, nilijitoa kwake ili nisimpoteze
3. Nikimkosea kidogo najitahidi kuomba msamaha
Ila mwisho wa game nilianza kujiona mjinga kwani dharau zilizidi hatari ilifikia hatua hata mimi na yeye kuongozana barabarani njia moja hataki kila mtu atembee kivyake kama hatujuani.
Siku ambayo nakuja kufanya maamuzi magumu ya kuanza kujitoa kwenye penzi lake ni baada ya kupewa story chini ya kapeti mwanamke wangu anatafuta Chumba ajee kuhama kimya kimya hapo ndo nilipogundua sipedwiiiii