Mben
Member
- Aug 18, 2018
- 22
- 16
Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania.
Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript.
Baadhi ya couruse zao hazitambuliki nacte au Tcu, ushahidi nnao.
Kuna watu wana transcript za uganda ambazo zina masomo hawakuwahi kusoma kabisa.
Imefikia mahali mpaka kinatolewa mfano na Mkuu kati ya vyuo vya vilaza.
PIA SOMA
- Chuo Kikuu Kampala kinawatesa Watanzania
- DOKEZO - Chuo Kikuu cha Kampala chini Tanzania kinawadhulumu wafanyakazi wake