Kamwe usijaribu kuwekeza kwa binti anaesoma kwa kigezo kuwa utamuoa

Kamwe usijaribu kuwekeza kwa binti anaesoma kwa kigezo kuwa utamuoa

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu,

Yapata miaka miwili iliyopita tangu niamue kuachana na binti niliyempenda sana.

Ilikuwa hivi....

Binti alikuwa anasoma kidato cha nne mwaka huo,ikatokea nimempenda sana,nikaanza nae mahusiano,mpaka ikapelekea wazazi wake watambue hilo

Baba na mama wa binti na wazazi wangu wakakubaliana kuwa akimaliza shule tuoane kwani licha ya kuwa binti alikuwa anasoma ila darasani hakuwa vizuri sana na uwezekano wa kufaulu haukuwepo.

Tuliishi maisha mazuri sana ya furaha na amani,nikimhudumia kila kitu,huku wazazi wake wanalitambua hilo.

Kweli binti akamaliza masomo,akapata dvs4 ya 30 hivyo matarajio yangu yakawa ni makubwa kuwa atakuwa mke wangu soon.

Cha ajabu binti akabadilika,akawa mcharuko balaa,akawa hanisikilizi,mpaka wazazi wake wakalitambua hilo, ikabidi taratibu za ndoa zifanyike haraka,

Cha ajabu binti eti akasema anaenda kusoma hivyo hataki aolewe. Lakini till now ni miaka miwili yupo mtaani haeleweki na tushatengana.

Wakuu, usiwekeze kwa binti anaesoma kwa kigezo kuwa utamuoa.
 
Kuna jamaa ni fundi ujenzi hapa amesomesha mtoto wa watu toka 2021 form one mpaka mwaka Jana form 4.

Akafika mahali akaanza kukala na Mama mtu akabariki, sasa mtoto amefaulu kwenda form 5. Jamaa anauliza aendelee au aende haya mavocational training sijui nini.

Anatutaka ushauri.
 
Back
Top Bottom