Mimi ni mkristo ,Nina ndugu na marafiki wa muislamu Sina ugomvi nao KABISA!Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, ragiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia
Watu hawajui maadui zao ni akina nani, na watu wenye power wanatumia hii kama advantage na kuwatenganisha muwe mnachukiana wenyewe kwa wenyewe, watu innocent ambao hata hamuhusiki na maovu yanayoendelea hapa duniani
Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini
Mh hii sera hawako nayo waarabu hii sera ni ya wazungu (white people) alafu mbona waarabu hawajwahi kuweka vikao kujadili kuhusu Africa na kama upo ushahidi ulete lakini Sasa angalia sana watu weupe muda mwingi wanafanya vikao kujadili kuhusu Afrika na namna ya kuiongoza ukitaka ushahidi ntakupatia.wanaoleta chuki za kidini ni minority ambao ni arabs, na lengo ni divide and rule, ili watawake ni lazima sisi tugombane kwani arabs wanajua fika black people wakielewana hawana chance hapa kwetu, hivyo ni mbinu ya zamani sana but it works, ukifwatilia wanaowalipa hawa akina shehe mwaipopo hiyo paper trail utaishia kwa arabs.
kwa kawaida muslims hawana shida yoyote na Christians tunaishi nao mitaani, tunafanya kazi, tunacheza nao mipira kwanz hakuna hata siku moja ambapo dini y amtu inaingia ukiachilia utani wa kawaida, tanzagiza unaweza ukaishi maeneo ya muslims hata wakifunga kula wewe ukala hakuna shida, kwanza wengine mulims wengi tu nawajua wala hawafungi kwa kifupi sisi ni liberal society ila wanaotuchinganisha ni arabs ...
Mh hii sera hawako nayo waarabu hii sera ni ya wazungu (white people) alafu mbona waarabu hawajwahi kuweka vikao kujadili kuhusu Africa na kama upo ushahidi ulete lakini Sasa angalia sana watu weupe muda mwingi wanafanya vikao kujadili kuhusu Afrika na namna ya kuiongoza ukitaka ushahidi ntakupatia.
WAislamu wote sio magaidi ila magaidi wote ni waislamu.Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, ragiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia
Watu hawajui maadui zao ni akina nani, na watu wenye power wanatumia hii kama advantage na kuwatenganisha muwe mnachukiana wenyewe kwa wenyewe, watu innocent ambao hata hamuhusiki na maovu yanayoendelea hapa duniani
Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini juua ya mambo yanayofanywa na watu wengine, hawa watu wanaofanya mambo machafu ni watu wabaya tu, wala sio kwamba ni kwa sababu ni waislamu au ni wakristo. Wanaua watu kwa sababu ni watu wabaya, dini ni mwavuli wanaojifichia. Na hamuwezi kucontrol ambacho watu walio mbali huko wanakifanya, so you're innocent and your friend is innocent. Acheni kutukanana na kurushiana maneno makali
Umenena vyema mkuu, mimi nashangaa humu unakuta ni mkristo anasema amri kuu ni upendo kisa tu hukubaliani naye anakupa tusi moja makini.Kuelimika na kujitambua ni kutokua na ubaguzi wa aina yeyote ile iwe dini ukabila na matakataka mengine yeyote..
Malezi mabovu wengine majumbani kwao ili alete kitu anatukanwa kwanza wengine wametoka majumbani kwao matusi hawayajui zaidi ya adhabu za viboko tu.Umenena vyema mkuu, mimi nashangaa humu unakuta ni mkristo anasema amri kuu ni upendo kisa tu hukubaliani naye anakupa tusi moja makini.
Hakika... mkuu! nadhani nikuanzia nyumbani kuna jirani yetu hapa dah! amejaa matusi balaa yani mtoto hata kama anamwambia alete kiti... anasindikizwa na tusiMalezi mabovu wengine majumbani kwao ili alete kitu anatukanwa kwanza wengine wametoka majumbani kwao matusi hawayajui zaidi ya adhabu za viboko tu.
Namshukuru Mungu maeneo hayo siwezi kukaa kabisa ndio vijana wengi wapo humu wamekulia hayo maisha na ukiwa nae hawezi kutukana wala kufanya kitu chochote si walaini ila kwenye mitandao sasa..Hakika... mkuu! nadhani nikuanzia nyumbani kuna jirani yetu hapa dah! amejaa matusi balaa yani mtoto hata kama anamwambia alete kiti... anasindikizwa na tusi
Kuna muarabu mwenye migodi mikubwa kama Geita Gold au North Mara?tanzagiza hakuna wazungu, hakuna mzungu mfanyabishara mkubwa hata mmoja tanzagiza, hakuna mzungu cartel wa sukari, mafuta, wamiliki malori ya mafuta wote arabs ...
Waislamu ni mbwa taka taka tu ,huu utawala wa ibiisi samuya na washenzi wenzake watu wamepata picha halisi jinsi hawa takataka walivyoNi mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, rafiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia
Watu hawajui maadui zao ni akina nani, na watu wenye power wanatumia hii kama advantage na kuwatenganisha muwe mnachukiana wenyewe kwa wenyewe, watu innocent ambao hata hamuhusiki na maovu yanayoendelea hapa duniani
Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini juu ya mambo yanayofanywa na watu wengine. Watu wanaofanya mambo machafu ni watu wabaya tu, wala sio kwamba ni kwa sababu ni waislamu au ni wakristo. Wanaua watu kwa sababu ni watu wabaya, dini ni mwavuli wanaojifichia. Na hamuwezi kucontrol ambacho watu walio mbali huko wanakifanya, so you're innocent and your friend is innocent. Acheni kutukanana na kurushiana maneno makali
Sasa Kwani wamekatwaza kuja kufanya biashara mkuu. Wakitaka kuja waache waje. Alafu ukiruhusu udini ukutawake mkuu hutafikia malengo.tanzagiza hakuna wazungu, hakuna mzungu mfanyabishara mkubwa hata mmoja tanzagiza, hakuna mzungu cartel wa sukari, mafuta, wamiliki malori ya mafuta wote arabs ...