Kamwe usikumbuke matatizo ya zamani!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kamwe usikumbuke matatizo yaliyopita sababu yanaumiza na usiwaze yajayo sababu yanatia hofu

maisha ni hapo ulipo ,maazimio ni kilele cha maisha bora yajayo,

tazama mbele kwa kujiamini nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini

nakutakia jumanne njema

wasaalam
pdidy
 
kweli pdidy maisha ni haya haya hamna cha jana wala kesho
 
Karibu nina ngo ya matatizo ya ndoa na ushauri ukitaka kuweka mbegu tuma

a/c no 00000000001
crdb bank afufuliwe branch
ubarikiwe
 
Maisha ni leo leo.........jana ni reference na kesho ni vision. Live to the fullest today as you may not see tomorrow. Work hard and intelligently today and spend a big chunk today as you may not tomorrow
 
Turly, do not be anxious about tomorrow..for tomorrow has its own worries. Take each day at a time.
 
Karibu nina ngo ya matatizo ya ndoa na ushauri ukitaka kuweka mbegu tuma

a/c no 00000000001
crdb bank afufuliwe branch
ubarikiwe
ahahaaaaa haleluya mtumishi
 
Upo sawa mkuu,lakini mi nadhani inategemea msingi uliosimamia au mtu yeyote atakaosimamia. What i c is sme factors should b held costant,unles u wont learn frm yesterday 2 make ur 2day knowing that ur 2day indicates what wil b ur 2mr.!
 
Mkuu tumekupata, ni hatari kutazama nyuma especially kama ulikuwa na series ya maudhi, matatizo, shida, mikosi, kukosa mafanikio, ugomvi, kukataliwa nk. They might pull you back again.
 
Eti eeeeeeeeeeh!! ntafanya hivyo kwa kweli from today nasonga mbele tu yaliyopita siyawazi tena....
 
mkuu siku hizi umeanza kuandika vizuri au unasoma tuition?
 
Mkuu tumekupata, ni hatari kutazama nyuma especially kama ulikuwa na series ya maudhi, matatizo, shida, mikosi, kukosa mafanikio, ugomvi, kukataliwa nk. They might pull you back again.

LIKE

mkuu nimekugongea like kabla ya kusoma nilipomaliza ikabiri ntafute tena sehemu ya like siukuiona!!KAMA WATU WOTE TUTYAFWATA ULIOANDIKA HAPO JUU Yerusalem itaanzia hapa hapa duniani mpwa
 
Sante Pdidy. .

Jifunze kwa yaliyopita
Ishi kwa sekunde hii
Kesho ni siku nyingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…