Kamwe usimrudie Ex wako

Kamwe usimrudie Ex wako

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
Habari za Usiku Wana Jamiiforums leo nmekutana na huu Uzi nikaamua niwasogeze wadau ✍👇

Sababu tano za kwanini huenda EX wako anakusimbua. (FOR MEN)

1. Sasa yeye ni mama wa mtoto.

2. Ametumiwa na wanaume kadhaa, na hakuna hata mmoja aliyemjali.

3. Kizazi chake kimeharibiwa, anatafuta mwanaume alie tayari kuelewa hali yake.

4. Anakuona wewe kama mtu dhaifu ambaye utakubali kumrudisha bila kujali.

5. Wewe ni chaguo lake la mwisho.

Kwa sababu mwanamke fulani alikukataa hapo awali, ilikuwa kwa sababu alihisi kuna mtu aliyekuwa bora kuliko wewe, ndio maana akakupa treatment ya namna hiyo.

Kamwe usimrudishe.

Usiingie kwenye retirement plans za mwanamke yeyote, vinginevyo utaadhibiwa vikali.

KUWA MAKINI, AU PUUZA UJIFUNZE KWA KUPITIA MAGUMU.!

Chanzo X - Prospernow
 
Huu ni udhaifu au nini wakuu?
Kwanza sijawahi achana na mwanamke kwa kugombana nae,huwa nakata mawasiliano tu hata ikipita miaka wao wenyewe ndiyo huwa wananitafuta ....
Halafu nilivyo mtaalamu wa kupasha viporo huwa sicheleweshi..naGAPI halfu anapita hivi
 
Ili mtu umwite ex wako inatakiwa muachane kwa muda gani?
 
Chini pakiwaka moto tu principals zote huwa zinapotea ghafla, kinachobaki ni kuita mtu na kukiwasha. Majuto atabaki kuwa mjukuu milele
 
Back
Top Bottom