Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kitu ambacho wazazi wakiume hufurahia zawadi yao ni mtoto wao mzima si (anidhi) ila mie huwa sipendi kuandika maneno magumu
Kwani wewe ukizeekea kwa wazazi wako wazazi hufurahi au labda wewe ni mgumba?

Hii comment yako inaonesha umepaniki kiasi fulani! Tunaongelea swala la mahari wewe umeingiza swala la uhanithi kana kwamba wasiopenda kulipa hela ukweni ni mahanithi
 
"Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari"​

Hii topic itawachanganya sana kwa hiyo waendelee tu kusuuza marungu?
 
Asante kwa majibu yako, kwanza mie sijapaniki!
Wewe umeuliza zawadi ya wazazi wa kiume, ndiyo hiyo nimekwambia,
 
Kwa kizazi hichi cha wadangaji. Ukimchukua binti wa watu ukamweka ndani hata mzazi anakushukuru maana umemfichia aibu nyumbani kwakwe. Wanawake wanatumika sana yaani unakuta mwanamke keshatembea na wanaume kama wote, katoa mimba au keshazalishwa. Michezo michafu yote ya ngono anaijua kama vile unaoa kahaba
Mahari ni muhimu na lazima kwa binti aliyejitunza (bikra)
Mimi nayaelewa vizuri na purity ni kwa wote na si kwa mwanamke pekee.

Mahari lazima mtoe kwa sababu hata wanaume si wasafi!!
Sitetei uchafu Ila naongea kilichopo.

Kitu gani nimeongea nisicho na uhakika nacho?
 
Wanadanga na akina nani?
 
"Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari"​

Hii topic itawachanganya sana kwa hiyo waendelee tu kusuuza marungu?
Kusuza marungu ndio kufanyeje?
 
"Mahari ni zawadi au ahsante...." Ushaona wap unapangiwa zawad
Mtoa mada kwani Mahari ni nn?
Yaani umetoa definition mwenyewe halafu unaniuliza tena definition hiyohiyo!!!
Bro hebu kuwa siriazi[emoji23]
 
Mbona hailipwi kwa kina ng'ombe?
Kama mnaona wanawake ni sawa na ng'ombe Mbona hamuwaoi hao ng'ombe?
Nyinyi ndio mnajifananisha na ng'ombe kwa kupenda kununuliwa.
Sasa kama siwezi kuwa na wewe hadi nikulipie utakuwa na tofauti gani na bidhaa?
 
Nyinyi ndio mnajifananisha na ng'ombe kwa kupenda kununuliwa.
Sasa kama siwezi kuwa na wewe hadi nikulipie utakuwa na tofauti gani na bidhaa?
Maana ya mahari unajua??
Kama unaona mwanamke na bidhaa ni sawa basi kamlipie bidhaa mahari uioe
 
MWANAMKE ANAYEPASWA KULIPIWA MAHARI NI BIKRA TU
Asiyeweza kulipia mahari asioe. Ni sawa ila ukumbuke hata wanaolipia mahari wanagongewa na wanaume wasiolipa mahari. Kamuulize Stamina atakupa majibu
Na hao wagongaji ndo walipaji mahari wa baadaye
Yaani ngoma draw
 
Tukumbushe kwenye kitabu cha Mwanzo, nipe mstari ambao Adam alimlipia mahari Eva. Je Adam alimuoa Eva? Kama hakumuoa sisi andiko la kufungishana ndoa tuli 'google' wapi? Kama alimuoa, je, mahari alipeleka kwa nani?
Nilishawajibu wenzio huko juu
 
Maana ya mahari unajua??
Kama unaona mwanamke na bidhaa ni sawa basi kamlipie bidhaa mahari uioe
Acha kujificha nyuma ya jina "mahari"!

Mahari =hela ya kumnunua mwanamke kwao au kupeleka vitu ili ubadilishe vitu hivyo au hela hiyo na huyo mke utayeondoka nae.
Nauli =hela ya kulipia safari
Sadaka =hela uliyotoa kanisani, msikitini au hela iliyompa mtu imsaidie katika mambo yake
Mshahara = hela uliyolipwa baada ya kazi fulani

Bibie mpaka hapo umenielewa au niongeze sauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…