Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

MWANAMKE ANAYEPASWA KULIPIWA MAHARI NI BIKRA TU
Asiyeweza kulipia mahari asioe. Ni sawa ila ukumbuke hata wanaolipia mahari wanagongewa na wanaume wasiolipa mahari. Kamuulize Stamina atakupa majibu
Bikra sikuhizi mwisho darasa la nne d basi, na wengi hawana bikra zote na wametolewa mahari vizuri and Wana enjoy ndoa zao
 
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam.
 
Mada ina ukweli ila ikifatiliwa kiufanisi itazidi kuongeza single mothers,watoto wa mitaani nk,

kila mmoja aangalie upande wake!
 
Tusikariri ndoa ni heshima tosha .sio mahari ...mahari ni vile unavoichukulia that why kuna tamadun mwanamke anatoa mahari nyengine mahari hakuna kabisa
 
Sasa mwanaume asiyeweza kulipa mahari wa kazi gani jamani?
 
Sitoi mahari natia mimba tu .tuone nikija mchukua mzee ataniletea nongwa mi kijana wa manzese kwa mkaanga paka
 
Mbona hailipwi kwa kina ng'ombe?
Kama mnaona wanawake ni sawa na ng'ombe Mbona hamuwaoi hao ng'ombe?
Kusemq mchele huu kili moja ni shilingi kadhaa hakunaanishi unaweza kuila hiyo hela shikingi kadhaa badala ya mchele.

Kifupi mahari inaufanya utu wa mwanamke uwe na bei.

Ananunuliwa kama mtumwa.

Ananunuliwa kama ng'ombe.

Ni utamaduni uliopitwa na wakati.

Ndiyo maana wanawake wanadharaukika na kupigwa, kutukanwa, kuionekana dhaifu.

Wanaingia kwenye ndoa kwa kununuliwa kama mifugo.
 
Baada ya Yesu kuja ni Mwanaume gani alioa mitala?

Yani kwenye agano jipya ni nani alioa mitala?
 
Mahari ni nini?
 
Mahari ni nini?
Ni gharama ya kumnunua mwanamke ili awe mkeo katika tamaduni zinazouza wake.

Pia ipo katika tamaduni zinazouza wanaume kama India huko, ambako mwanamke analipa mahari kwa familia ya mwanamme.

Kote huko, hiyo ni biashara ya kuuza na kununua watu tu.

Kama ilivyokuwa biashara ya utumwa.

Kwa maana thamani ya mtu inawekewa bei.
 
Hiyo ndiyo definition yako ya mahari?
 
Siyo definition yangu.

Ndiyo ukweli wenyewe.

Kama una hoja za kubisha, zilete hapa.

Mahari inamfanya mwanamke awe bidhaa yenye bei.
Hiyo definition ndio naisikia kwako leo
 
Siyo definition yangu.

Ndiyo ukweli wenyewe.

Kama una hoja za kubisha, zilete hapa.

Mahari inamfanya mwanamke awe bidhaa yenye bei.

Kiranga jamani.
Mahari ni utamaduni unaomba ridhaa kwa wakwe zako kuwa unaoa na utamtunza mke na watoto wote watakaopatikana kwenye nyumba yenu.

Kamwe mahari haiwezi kumfanya mwanamke awe bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…