Uchaguzi 2020 Kamwe Watanzania hatutakubali ya Jecha, Lakini....!!

Hutaki ya Jecha, mbona umetoa mfano wa mbali hivyo, mwishoni mwaka mwaka jana uchaguzi wa SM ulinajisiwa ulichukua hatua gani? Hivi sasa 1/3 ya wagombea wa upinzani wameenguliwa kihuni, ni hatua gani ww au waliofanya uhuni huo wamechukuliwa?
Kimsingi hakuna uchaguzi mwaka huu. Kuna uchafuzi tu.
 
Mbona mh. Pombe amevuka muda huo wa saa 12 jioni mara kadhaa na hakuitwa na hao policcm?! Tuanzie hapo kwanza
 
Chuo cha 100b kwa wachina ni nini, wakati wamekosa miradi miwili ya bandari ya bagamoyo na reli ya SGR ya zaidi ya 15t+? Unajua unaoongea nini ww dogo, au unadhani China hii ni ya wajamaa kama zamani?
Na we mmarekani utampa nini hadi aje akupiganie wewe keyboard warrior wakati anajua maslahi yake yapo salama hata kwa chama tawala sasa......hio SGR kwani kutoka Moro kuendelea tenda kapewa nani we kubwa jinga?
 
Unajicontradict tu, hebu kaa kimya dogo.
 
Mwambieni Magufuli apeleke malalamiko yake Tume ya Uchaguzi na siyo kutoa maagizo polisi.
 
Vipi na kiongozi anaesema hatoleta maji kijijini na mwana kijiji akarusha jiwe hapo itakuwaje???

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kweli wewe unafikiri unaweza kufanya mdaharo na kichaa Lissu kweli!!? Please be serious!
 
Kweli wewe unafikiri unaweza kufanya mdaharo na kichaa Lissu kweli!!? Please be serious!

Uzuri wa kwenye mdahalo unajibu unachoulizsa na sio kuhubiri utakacho.
 
Haters et al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…