Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?
hapo kwenye RED kuna tafsiri nyingi aisee!Mimi nafikiri tatizo sio kuambiwa una wivu wa kike, tatizo ni ile dharau aliyoipata kwa mkewe na kulinganishwa na mwanamke!. Hayo ni mawazo yangu, ngoja wenyewe wajisemee...............
hahahaha MMK umenikumbusha hii kauli aliwayi kuitoa kama si Mzee Msekwa ni Mzee Mkapa alisema "Watanzania wana Wivu wa kike" Lol
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?
hapo kwenye RED kuna tafsiri nyingi aisee!

Mkuu unaunga mkono domestic violence? utajisikiaje kama aliyebondwa ni dada yako,will you take it?Hakika hata ningekua mimi ningefanya kama alivyofanya huyu jamaa,...mimi mwanaume ninawivu wa kiume na mwanamke ana wivu wa kwake_hii ni kama kuingilia mambo ya kike ambayo ni jinsia ingine...period
Mie Mzima mamito? IDD ndo ukanichinjia baharini sio?Nakusalimu tu mkuu.............
BTW...kwani wewe ningekuambia hivyo ungenizaba kibao?...🙂
Chonde chonde Fidel,waoneeni huruma kinamama,wao sio gunia la mpunga kwamba unawadunda ili upate mchele,ni binadamu ati kama wewe,na kumbuka usilotaka ufanyiwe wewe katu usimfanyie binadamu mwenzio.Mwanamke alikosea kumwambia ana wivu wa kike hata ningekuwa mimi ningemdunda
Mwanamke alikosea kumwambia ana wivu wa kike hata ningekuwa mimi ningemdunda
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa kakasirika sana kuambiwa ana "wivu wa kike" kwani kuna tofauti gani kati ya 'wivu wa kike' na 'wivu wa kiume'? Kuna mtu anaweza kutusaidia kutufafanulia wivu wa kike uko je hasa kiasi kwamba uonekane ni kama tusi la aina fulani hivi?
Hiyo red dah kumbe kuna wanaume bado wanadunda wanawake zao?? Mie ukinyoosha mkono tu nafungasha virago huyooo kwa mama yangu
Mie Mzima mamito? IDD ndo ukanichinjia baharini sio?
Mamito kwa sura yako hiyo hata ukiniambia nini siwezi nyoosha mkono wangu kwako "u know what I mean"
Mods siku ile sijui kwa nini walitupeleka kule bana au ndo huo "Wivu wa kike" lolMhhhh!!.....I am humbled....!
Hapo RED...si nyie ndo mlisababisha ile sredi ikapelekwa nyumba kubwa ambayo mimi sina funguo zake...mhhhh....nikabaki nashangaa tu.....:sad: