Kamzaba mkewe kibao! kisa?

Matusi yoyote yanayocross gender bounderies yanahitaji kushughulikiwa kwa umakini na haraka zaidi...Ukicheka cheka kama mzee wetu utaambulia patupu!!

Huyo jamaa ni dume kweli kwani hata mimi ningefanya hivyo hivyo!! Hii inasaidia kuifanya nchi (familia) itawalike!!

Halafu sijui kwa nini, ila duniani hakuna wivu wa kiume.....Kama kuna mtu alishawahi kusikia atueleze alikoupata!!

Karibu sana Mwita Maranya,

Sina shaka na jibu lako....lakini itupe tu kionjo kidogo!!

Ni "kutema" tu au???!!

wivu unaotawaliwa na hisia zaidi kuliko ukweli wa jambo/ tukio

Wivu wa kiume ni wivu wa kimaendeleo

Wivu wa kike ni wivu wa kimapenzi.

Mkeo akikuambia una wivu wa kike ujue kakuita wee ni shoga.......!

Wivu wa kiume ni wivu wa kimaendeleo

Wivu wa kike ni wivu wa kimapenzi.

Mkeo akikuambia una wivu wa kike ujue kakuita wee ni shoga.......!

Una maana kwamba hata kibao kimoja hakitoshi au??

hahahaha MMK umenikumbusha hii kauli aliwayi kuitoa kama si Mzee Msekwa ni Mzee Mkapa alisema "Watanzania wana Wivu wa kike" Lol

Ukikumbuka kilichomkuta mzee msekwa ndo hapo utajua kwanini jamaa liamua kumnasa kibao "my wife" wake.

Hakika hata ningekua mimi ningefanya kama alivyofanya huyu jamaa,...mimi mwanaume ninawivu wa kiume na mwanamke ana wivu wa kwake_hii ni kama kuingilia mambo ya kike ambayo ni jinsia ingine...period

Wewe unajitambua na sina shaka kwamba mkeo hawezi kuthubutu kukusemea maneno mbofu mbofu kama hiyo.

Mimi nafikiri tatizo sio kuambiwa una wivu wa kike, tatizo ni ile dharau aliyoipata kwa mkewe na kulinganishwa na mwanamke!. Hayo ni mawazo yangu, ngoja wenyewe wajisemee...............

Ahsante bi.mdogo, mumeo kapata mke mwema na mwenye busara hadi nakaribia kumuonea wivu!

wivu wa kike ni wa kumtakia mwanaume mema zaidi ktk kudumisha ndoa yake, wivu wa kiume hauelezeki maana hautabiriki

Acha uongo mwana, tangu lini wivu wa kike ukawa ni kumtakia mema? kama ndivyo unamdanganya mumeo, basi siku akijua umekwisha!

Mwanamke alikosea kumwambia ana wivu wa kike hata ningekuwa mimi ningemdunda

Yeah man, heshima ni muhimu kama mke hataki unamlazimisha, kata vibao kwa kwenda mbele!

Chonde chonde Fidel,waoneeni huruma kinamama,wao sio gunia la mpunga kwamba unawadunda ili upate mchele,ni binadamu ati kama wewe,na kumbuka usilotaka ufanyiwe wewe katu usimfanyie binadamu mwenzio.

Kwani kumtukana mume wake napo si ni domestic violence. Mke naye amuonee huruma mume wake ili naye aonewe huruma, ebo!

Hiyo red dah kumbe kuna wanaume bado wanadunda wanawake zao?? Mie ukinyoosha mkono tu nafungasha virago huyooo kwa mama yangu

Kama hupendi mumewako anyooshe mkono basi nawe usinyanyue mdomo. Kama unafunga virago kurudi kwa mama yako naye anakupokea basi tutamhoji mama alikuleaje hadi unakuwa mkaidi kiasi hicho!?

Ahsante kwa somo zuri bibie, ila huo wivu wa kiume bado sijauelewa elewa!

Uzuri wakina mama mkwe wa siku hizi ukirudi tu home wanakutimua rudi huko huko

Mama mkwe asipomtimua, basi huyo atakuwa ni wale waliofundwa ku handle mafiga matatu!!

Kuambiwa una wivu ni jambo moja lakini kuambiwa una wivu wa kike huyo mtu kakutusi.

Sangara there you are, kula gwala!

Kwa maana rahisi ni kwamba mambo yako yote ni ya kike kike.Kwa hiyo ndo maana jamaa alikasirika sana.

Ndio manake mkuu, huyo mwanamke alipata alichostahili.

Mods siku ile sijui kwa nini walitupeleka kule bana au ndo huo "Wivu wa kike" lol

Mkuu angalia usije ukanaswa kibao na mods!!

Mkuu nadhani hapa umefunga kazi, sina cha kuongezea. Naungana nawe kusubiri "ripoiti" ya wivu wa kiume.

Karibu sana Mwita Maranya,

Sina shaka na jibu lako....lakini itupe tu kionjo kidogo!!

Ni "kutema" tu au???!!

Mkuu hapo ni "kutema" tu kwa kwenda mbele. Halafu unajua wanawake huwa wanajua nani wa kumwambia maneno kama hayo.

Wengine huwa hatuongei ni vitendo tu kwahiyo Mama Rhobi hawezi kuthubutu kunyanyua mdomo dhidi ya Baba Rhobi.!!

Ndugu yangu mwita,

Nafunga hii PC niwahi bus...Sema tukutane wapi...Haki ya nani deni lako sina hakika kama nitaweza kulilipa!!

Kwa vile wanaume wako kama alivyosema ADii...tutaelewana tu na kuopeana mpango mzuri wa kulipa bila wivu wala husda!!

Ubarikiwe sana,

Kuwa dume ni zaidi ya kuwa mwanamume!!

Mkuu hapo ni "kutema" tu kwa kwenda mbele. Halafu unajua wanawake huwa wanajua nani wa kumwambia maneno kama hayo.

Wengine huwa hatuongei ni vitendo tu kwahiyo Mama Rhobi hawezi kuthubutu kunyanyua mdomo dhidi ya Baba Rhobi.!!

Hapo lazima kuna order in the house...Hakuna tena biashara ya eti.."mwongozo wa speaker au taarifa"

Hivi kweli unaweza kuitwa baba baada ya kuvumilia tusi la reja reja kama hilo....Hata watoto wataona kwamba wameuvaa mkenge...Kuwa na baba ambaye yuko kama castrate...

Haki ya nani..testosterone haiwezi kunikubakia, eti ninyamaze au kucheka cheka baada ya kuvuliwa nguo!!

Hivi unajua kuna wanawake wamepinda(si wote) usipomnyamazisha na kelbu/ondoka eneo la tukio unadhalilika..hebu akuambie.. 'wewe si m..nge tu'..mbele ya umati kaka!..
Mkuu unaunga mkono domestic violence? utajisikiaje kama aliyebondwa ni dada yako,will you take it?

Hivi unajua kuna wanawake wamepinda(si wote) usipomnyamazisha na kelbu/ondoka eneo la tukio unadhalilika..hebu akuambie.. 'wewe si m..nge tu'..mbele ya umati kaka!..

Hilo neno linamaanisha nini?? Naona limejirudia mara ya 2 sasa baada ya kuwa-introduced na Babu wa ODM!!

Hilo neno linamaanisha nini?? Naona limejirudia mara ya 2 sasa baada ya kuwa-introduced na Babu wa ODM!!

Mzee mwenzangu, kelbu ni kofi unalomtandika mtu kwa upande wa pili wa kiganja...........Yaani upande wenye kucha. Kama unatumia mkono wa kulia mkono unaenda clockwise kulitafuta chavu la mtu. Lazima alama za kucha zibaki shavuni kudadadeki!...........Ni kofi la dharau LOL

mwanamke huyo kakosea, hata mwanamke mumeo akikwambia "lione mambo yako ka dumedume tu" hutakasirika? utaona kama kakuona wewe ni dume mwenzake, kwa hiyo kila mtu anatakiwa aheshimu jinsia ya mwenzake.......sawasawa kuzabwa bao

Hiyo red dah kumbe kuna wanaume bado wanadunda wanawake zao?? Mie ukinyoosha mkono tu nafungasha virago huyooo kwa mama yangu

kuna movie moja niliicheki mkwe kamfumania mumewe akaenda kushtaki kwa mama mkwe,mama mkwe kwanza akachekaaa akamuuliza umewakuta wap?...akamwambia hotel flan chumba namba flan akamwambia oooh hotel ile ile na chumba kile kile alichokua akitumia babaake kunisaliti na vimada wake...akamwambia futa machozi hakuna ndoa rahisi hapa dunian mtafute huyo mwanamke anayetembea na mumeo mpe nafasi nyingine ya kuishi ...dah naona kama siwaelezei utamu wote em itafuteni muone how to handle this matters (kupigwa kitu gan) inaitwa THE FAMILY THAT PRAYS kacheza yule nigger wa kwenye 24 series alikua anapenda sana kusema 'u feel me fish?'

ndo matatizo ya mtoto wa familia bora kuoa dem msela...dem kakulia tandale tabia za kishenzi huyo kama sio askari magereza sijui...kwanza mfumo dume bado upo kichwani mwake kwamba yeye mwenyewe anajidisvalue,na mpaka anamwambia hivyo mumewe it means kashamsoma kwa mambo mengi sana...inawezekana ni kwel kabisa huyo mume anawivu wa kike tena demu wa kihindi lakini haikua vyema kumwambia vile mume kipenzi...My self mke wangu angeniambia hivyo nisingempiga makofi...ningemshushia makwenzi (nakoz) adhabu special kabisa ili aweze ku feel the difference

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…