TANZIA Kanali Dkt. Moses Mlula afariki dunia kwa ugonjwa wa Covid 19 nchini India

Samia suluhu chapa kazi usibabaishwe na kelele za vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku.
 
Bill Gates na WHO waliokuwa na makosa gani kutanabaisha hatari iliyokuwa mbele yetu kustahili kusukumiwa moto ule na Mataga wale?
Ndiyo nakwambia kuwa hao mataga wana akili sawa na za kunguni tu
 
Apumzike Kwa Amani

COVID 19 Huko India Imeua Idadi Kubwa Sana 375000
Nchi Imelewa Sehemu Za Wazi Miili Inachomwa
Mabehewa Yanatumika Kama Vyumba Kutibia Waathirika
 
Ndugu acha dhihaka dhidi ya marehemu....sio jambo jema......sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea na kila mtu kwa muda wake......usimdhihaki aliyetangulia hali ya kuwa na wewe upo kwenye foleni.....

Mkuu sidhani kama kuna dhihaka. Ila zaidi ni kuvunjika moyo (frustrations) toka kwa watu waliojikita kuhamasisha busara kutumika dhidi ya waliokumbatia ushirikina kuhusiana na ugonjwa huu.

Mtoa maoni asemeje zaidi ya hapo?

Kama nchi hadi sasa huu ugonjwa rasmi kabisa ni kuwa hautuhusu. Kisa? Sisi wamatumbi na eti kuwa huu ugonjwa ni watu weupe. Hii ikiwa bila ya tafiti zozote.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Covid ipo jitahidi sana unapo hisi hali si ya kawaida tumia dawa za asili,usianze kukimbilia Hospital kwanza,
 
Wimbi la tatu liko njiani soon kwa huu ujinga unaoendelea....
 
Hatari sana,hawa wahindi tungewazuia wasiingie nchini mwetu
 
Tume haijamaliza kazi so watangaze nini
 
Covid ipo jitahidi sana unapo hisi hali si ya kawaida tumia dawa za asili,usianze kukimbilia Hospital kwanza,

Unaona je hii siri ya mafanikio yetu tungeenda kuwamegea na wahindi kwa vitendo?

Au unaona je wangekuja huku kabisa tuwatibu? Mbona kina Job waliponea kwao? Hawa nao wanaweza kuponea kwetu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Apumzike Kwa Amani

COVID 19 Huko India Imeua Idadi Kubwa Sana 375000
Nchi Imelewa Sehemu Za Wazi Miili Inachomwa
Mabehewa Yanatumika Kama Vyumba Kutibia Waathirika
Apumzike Kwa Amani

COVID 19 Huko India Imeua Idadi Kubwa Sana 375000
Nchi Imelewa Sehemu Za Wazi Miili Inachomwa
Mabehewa Yanatumika Kama Vyumba Kutibia Waathirika
Idadi kubwa wapi mbona Marekani wamekufa laki 5 (500000) na maisha yanasonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…