TANZIA Kanali Dkt. Moses Mlula afariki dunia kwa ugonjwa wa Covid 19 nchini India

... hata nyungu ni kama haipewi tena promo nowadays; ni as if Covid imeisha duniani.
Hukuona promote wa nyungu akivaa barakoa wakati wa msiba wa mwendazake?! Ajili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Ina maana hii Corona haimuoni ndugaye?
 
Jiwe alisema kila nafsi itaonja mauti (Kul nafs zaiqa al maut)
 
Rest well doctor Mlula, ulikuwa daktari mwenye weledi sana , umehudumia viongozi wengi sana wa kijeshi na kitaifa kuanzia ulipokuwa Lugalo mpaka Mzena. Pole kwa familia, ndugu na marafiki.
 
Hata tukiruka hiki kiunzi, bado watatungenezea nyingine na nyingine Tena mpaka wahakikishe tunakufa in mass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…