Kanali Mahfudh ni nani hasa?

Kanali Mahfudh ni nani hasa?

cappachinno

Member
Joined
Mar 30, 2021
Posts
8
Reaction score
1
Ka kuna mtu humsikia akitajwa Mara nyingi zaidi ya lundo, Nn huyo bingwa hapo.

Ila ndo sijawahi pata mjuzi aliejuzwa barabara taarifa zake Ila nae aniambukizie kiaina.

Kwa yeyote mzalendo anaependa tuwafahamu mashujaa wetu na kwa faida ya madogo janja wengine.

Shoot it....
 
Alikuwa ni Askari ( Kikosi Maalum ) aliyekuwa ameiva Kimedani ( Kimbinu ) ambaye Enzi zake alikuwa Tishio kwa Usalama wake Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Idara ya Usalama wa Taifa kipindi hiko na hata huko huko Jeshini alikotokea.

Yaliyoendelea baada ya hapo Maadili hayaniruhusu tena isipokuwa Yeye Mahfoudh na Mwenzake Tamim kwa Uhodari wao mkubwa na Akili nyingi ndiyo walimfanya hata Hayati Fidel Castro ( aliyekuwa Rais wa Cuba na Rafiki mkubwa wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) Kulipenda Jeshi letu la Tanzania na kutoa Ofa ya Mafunzo ya Kijeshi ( hasa ya Ukomando ) kwa Askari wengi mno.

Naomba niwaachie Wengine wachangie.
 
Back
Top Bottom