Nani huyoMkuu kwa upande wa Kamandi ya Navy kuna mmoja mheshimiwa anamkubali utendaji wake wa kazi na jamaa yupo Smart sana kwenye mambo ya Meli.
Kwa sasa anasimamia mradi mkubwa wa ujenzi wa meli, mradi ukiisha akifanya vyema anaweza akapanda rank za juu.
Kuna watu wanakula mema ya nchi kusema kweli.mshahara wa ukanali hapana aisee yaani wewe mtu kila mwezi unadraw zaidi ya milioni tano kila mwisho wa mwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alisema Mitishamba Ni Mizuri Sana Na Imetusaidia Sana Kwenye COVID 19
Waganga Waheshimiwe Ila Akaweka Angalizo
Uchawi Ndiyo Mbaya!!!!!
Nyamnyusi Unapata Radi Kwa Tshs 500/=
Huyu atakuwa MAKANZONani huyo
Mkuu huwa unaandika vitu simple sana ila vina maana kubwa sana ndani yakeMartin Mkisi mtu poa sana.
Na matatizo ya watu poa, mara nyingine wanafikiria kila mtu ni mtu poa.
Kupotelea majini ndio kiaje mkuu?Hao waliopitwa na Mabeyo walipotelea majini tu sababu Mabeyo mwenyewe kapata umeja jenerali miaka 34 nyota ya Kwanza
Yap Mkisi namkubuka kwny DS101 na DS213Hahaa waliosoma Jitegemee na UDSM wanamfahamu huyu jamaa vzr.
a.k.a mista misifa,
Siasa zinapotawala kila sehemuKitu nilicho ki-observe katika majeshi haya ni kuwa watu huwa wanafikiri hawaonekani kabisa hivo huwa Wana relax Sana kiasi kwamba creativity huwa inapotea sana.
Kuna yule mwingine alikuwa injinia mstaafu wa jeshi masuala ya meli.Kwenye mradi wa ujenzi wa meli alikuwa anafanya kwa mkataba.Huyu atakuwa MAKANZO
Uzuri wao hawa jamaa nimeshawagundua kwenye crime mission wananasika kirahisi sana, hawako smart katika hilo. Akipanga dili la ajabu lazima tu anasike njiani kabla hajalitekeleza. Wanajiamini mno kwa kudhani kuwa wengine hawana akili, ujinga!Hahaaa hata sijuii...
Hizo ni baadhi ya kauli zake tuu, Ashawahi vunja simu ya thamani mbele ya wanafunzi kuonesha ana hela..
Anakuambia kwenye friji yangu hakuna kinywaji cha chini ya 200,000
Mwanagu wa darasa la tatu anakuzidi hicho ulicho present.
Kitanda changu kinalaliwa na degree nne..
Zangu mbili na za mke wangu mbili
Ninalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo,
Ukiona gari langu linapita manzese ujue limeibiwa...
House girl wangu lazima awe na degree
Yaani jamaa ndio maisha yake hayo..
Fanya ufanyavyo usije ukaingia kwenye anga zake,
Kinyume na hapo hana shida na wewe.
Ila kiukweli ni very smart kichwani na ni kiongozi mzuri sana...
Unajua unaweza ukawa una akili lakini pungufu lako moja tu linapojitokeza, linakushusha chini na kukufanya uonekana hata kichaa ambaye huwa anaokota makopo barabarani yana uafadhali ukilinganishwa nayeLicha ya mapungufu Mkisi ana akili sana yule
Usisahau nidhamu na shule vina mchango mkubwa sana kuliko seniority!Kwenye ngazi za kijeshi zimepigwa sarakasi hapo maana sio fair junior umrushe juu ya seniors labda mabifu au utashi wa Jiwe Ila hamna namna
Hii kwa kilugha chatu inaitwa zelebe, yaani dharau. Wavumilie ndugu yangu, watu wengi wanapenda sana ukubwa, wala siyo stigma, ni tabia ya kuzaliwa. Mimi huwa naona bora mtu ambaye hana ukubwa ila anajaribu kujifanya mkubwa, kwa sababu ukubwa yeye ni kitu kigeni kwake. Huwa inanishangaza sana nikiona mtu ambaye ni mkubwa, lakini bado naye anataka kuonyesha ukubwa!Wanatia hasira sana mda mwingine unatamani hata kuwapiga yani sema ndo hivyo sheria zinatubana na jeshini makosa makubwa yakukufanya ufukuzwe jeshi ni wizi na kupigana yani kuna dogo mmoja officer alinitia hasira bado kidogo nimpige ila nikawaza bado nina miaka 10 mbele nistaafu nina watoto 6 wadogo wanasoma japo ndio nina kipisi changu cha scania 124 cha mkopo bank kiko barabarani kinatembea kinaningizia pesa mwezi wa 9 namaliza mkopo wake,nyumba zangu 4 japo mbili ndo zaa maana mashamba 3 lkn bado jeshi sijalifaidi bado kuna kitu nakitaka kutoka jeshini sijakipata kufukuzwa kazi saizi ni jau ikanibidi nivumilia tuu ila maafisa wa voda fasta miyeyusho sana...kuna mwingine nae aliniomba aisee kamanda naomba uniwekee mzigo wangu unafika wilaya furani nikamwambia sipakii mzigo bure kwenye kipisi changu changia ela ya mafuta Afande yupo oooh hata mm afande wako nikamwambia iyo haipo...hi ni biashara atupo kazini hapa...
Atakupigia saluti na atanyooka ndiyo lakini bado unatakiwa umuamkie SHIKAAMO na kumhseshimu kama mtu aliyekuzidi umri. Kumzidi cheo kusije kukasbabisha ukawa mpumbavu na ikitokea ukaonekana uko hivyo ndiyo utaendelea kukaa na hizo nyota ulizonazo miaka 30 ijayo. Wenzako wanacheza kote kote, wanakuangalia na wewe pia kama unayo nidhamu kwa watu waliokuzidi umri! We chezaSwala la kusema kuwa wewe ulitangulia jeshini so tukuheshimu hio Haina mantiki ndani ya viunga vya jeshi[emoji1787]
Utapiga saluti kwa kunyooka wima na kwa utii pale afisa uliemzidi umri Mara anapokatiza mbela yako
Ukizingua utapelekwa court matial ukajibu mashtaka kwa kuleta dharau kwa afisa
Kama uliingia jeshini miaka 30 iliyopita na ukashindwa kuwa ofisa hio Ni juu yako unataka maana wengi wenu mmeingia jeshini na cheti Cha la Saba C mnataka kwahiyo usiwalaumu hao vijana wanaokula nyota za fasta fasta hawakucheza darasani they deserve
"Kwa hiyo bwana coplo/saameja hembu pita pale wape wale vijana kazi (unatii na unyooka unapiga saluti unakimbia na mvi zako miaka 54)" [emoji1787][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwamba General Mboma alipanda kutoka Major General kuwa General bila kupitia Lt General?Mabeyo kaingia uafisa jenerali katika timeframe ya kawaida hakupaa fasta kama hawa wa vodafasta umri miaka 44 eti tayari afisa Jenerali