Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wapendwa,
Kwa masikitiko makubws nawajulisha kuwa umempoteza mpendwa na ndugu Kanali Mstaafu Solomon Kichonge Mahende Masero.
Amefariki ghafla akiwa jijini Dodoma Desemba 13,2022.
Msiba upo Salasala na maziko yatakuwa Tarime.
Ameacha watoto na wajukuu baadhi wakiishi Uholanzi na Ujerumani.