Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Aende Kwa amani kamanda Mungu ampe pumziko jema tuendako Nako Kuna majukumu mengine best wishes on his new episodesWapendwa
Kwa masikitiko makubws nawajulisha kuwa umempoteza mpendwa na ndugu Kanali Mstaafu Solomon Kichonge Mahende Masero
Amefariki ghafla akiwa jijini Dodoma Desemba 13,2022
Msiba upo Salasala na maziko yatakuwa Tarime View attachment 2448251View attachment 2448252
Mkuu hebu fafanuadodoma alikuwa kwenye mkutano wa chama ccm.
muwe mnawapumzisha hawa wazee kuwazururulisha.!