Kanali wa Congo (DR) apigwa risasi ya mguu

Kanali wa Congo (DR) apigwa risasi ya mguu

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
Check majigambo ya Colonel hapa then baada ya kukutana na moto🤣🤣🤣🤣

Colonel Olonje anaaga kabisa baada ya kula kisago cha mbwa mwizi.

Usimchezee chatu
 
Dahh, milio ya risasi na makombora ikisikia kwa mbali.
 
Colonel Olonje anaaga kabisa baada ya kula kisago cha mbwa mwizi.

Usimchezee chatu
Kua litelemke kua lishuke Rwanda haitajaribu kurusha hata jiwe katika ardhi ya Congo.

Sababu
1. Siasa. Congo Sasa iko moja
2. Majirani. Wameichoka Rwanda
3. Hutu/Tutsi factor
 
Back
Top Bottom