Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baanda ya kuona ndugu yangu John Mnyika kajitosa kuokoa jahazi baada ya kuchagua wazee 3 toka kaskazini. (Kuna kanda hazijatoa mzee hata 1😀)
Napendekeza CCM itusaidie pia karatasi za kupigia kura zenye kale ka teknolojia ketu pamoja na askari wa kuzuia fujo maana wana uzoefu na haya mambo.
All the best mjomba angu. Pasaka ni mgombani, tumwalike Tundu Lissu aumie roho.