Kanda ya kaskazini kutoa wazee 3 kati ya 8 watakao simamia uchaguzi CHADEMA ni dalili nzuri kwa mjomba angu

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baanda ya kuona ndugu yangu John Mnyika kajitosa kuokoa jahazi baada ya kuchagua wazee 3 toka kaskazini. (Kuna kanda hazijatoa mzee hata 1πŸ˜€)

Napendekeza CCM itusaidie pia karatasi za kupigia kura zenye kale ka teknolojia ketu pamoja na askari wa kuzuia fujo maana wana uzoefu na haya mambo.

All the best mjomba angu. Pasaka ni mgombani, tumwalike Tundu Lissu aumie roho.
 
Kuna mmiliki wa kampuni anakwenda kustaafishwa kwa lazima πŸ˜‚
 
Lisu hawezi kushinda uchaguzi atashinda na njaa tu
 
Hii ngoma ngumu kwa Mjomba wako,Yaaani this time hata aletwe Samia na Mombo kusimamia uchaguzi wa Chadema lazima Kisomeke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…