Pre GE2025 Kanda ya Kati: Siri ya Ushindi wa Kishindo wa CCM Kila Uchaguzi

Pre GE2025 Kanda ya Kati: Siri ya Ushindi wa Kishindo wa CCM Kila Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana za uhakika na za kishindo kwa CCM.

Katika kanda hii,
wapinzani walishaga jikatia tamaa kabisa eneo hili muhimu la katika katikati ya nchi yetu.nadhani huwa hawaelewekagi kwa wananchi na sehemu nyingine wagombea wao huonekana kama vibaka au matapeli tu, kwasababu ,kwanza hata ofisi hawana na wala haijulikanagi wametoka wapi. mara nyingi hujitokeza nyakati za chaguzi tu.

Sikumbuki kama kanda hii paliwahi kua na muwakilishi wa upinzan bungeni au hata kwenye baraza la madiwani, na hata kama alikuepo basi hakua na athari zozote kwenye kanda hii muhimu kwenye hisabati ya siasa za ushindi wa kishindo kwa CCM humu nchini.

Na kwa Uchaguzi Mkuu ujao2025, kwa maoni yangu, ni afadhalli waupinzani katika ujumla wao wakajiandaa na kujipanga zaidi kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, Lakini kwa uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu mno na wa fedheha zaidi kwa upinzani, lakini pia na ni mwepesi mno na wenye ushindi mnono wa uhakika kwa CCM , kwa ngazi zote za uchaguzi. Nadhani hili liko wazi kabisa kwa kila moja kushuhudia.

Waupinzani wanaruhusiwa katika kutimiza tu takwa la katiba na sheria za nchi.

Soma Pia: Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Huenda katika uchaguzi huu, CCM ikashinda kwa zaidi ya 98% ya kura zote kwa kanda hiyo maalumu na mahususi ya uchaguzi.

Unadhani ni kwanini kanda hii muhimu na ngome imara ya CCM, haijawahi kuyumba kulipatia ccm ushindi mnono katika kila uchaguzi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Wajinga, masikini na mbumbumbu!
baada ya kukataliwa na kushindwa vibaya kwenye sanduku la kura,

kuna chama mpaka leo bado kina suffer na dhihaka na kejeli kama hizi kwa wananchi, wananchi huwa hawasahau matusi kama haya...

so ni muhimu sana kua na heshima na ustaarabu na uamuzi wa wananchi 🐒
 
Kwani mie chama? Nimetoka jana kwenye vijiji vyao, ni masikini, ni wajinga maana hawaoni ranging halisi za watawala. Wao wanapiga na V8 wanawacha kwenye jua lisilo na chochote.
Wajinga ndio waliwao.
 
Kwani mie chama? Nimetoka jana kwenye vijiji vyao, ni masikini, ni wajinga maana hawaoni ranging halisi za watawala. Wao wanapiga na V8 wanawacha kwenye jua lisilo na chochote.
Wajinga ndio waliwao.
kwahivyo wew mwenye mihemko na ghadhabu ndio mjanja? na huna hoja 🤣

ndio maana wew na wenzio wenye hulka kama yako wanapuuzwa daima 🐒
 
Back
Top Bottom